However tough the going gets, the tougher must soldier on. Despite the overwhelming temptation to give in to our daily struggles, it is still a beautiful life. Live, laugh, love and be the reason those around you believe in the beauty of humanity.
However tough the going gets, the tougher must soldier on. Despite the overwhelming temptation to give in to our daily struggles, it is still a beautiful life.
Live, laugh, love and be the reason those around you believe in the beauty of humanity.
Pambana
Maisha fumbo jibu sina
Kama mvuke latoweka
Dunia waibeba wewe
Mimi mwenzako sinibeze
Yangu safari siyo yako
Na yako nyota siyo yangu
Kila la heri uendako
Dunia waibeba wewe
Sikio nipe nikueleze
Maisha siyo mabishano
Leo ni kwangu kesho kwako
Dunia waibeba wewe
Chorus
Taratibu tukanyage
Mwendo ni pole sijikwae
Am ani mbali tumetoka
Ni karibu tuendapo