Check out JaxHeart’s latest release “Ayeba” and don’t forget to subscribe to his channels to receive all the latest JaxHeart news and new releases direct from the heart of Tanzania - enjoy!
latinafrobeatraggaetonafrosound
Macho Yananita Njoo
Njoo Baby Unipe Show
Cheza Ana Ana Doh
Turudi Utoto
Njoo Ukae Kushoto
Unipe Kajoto
Mi Mwenzako Kwako
Ndo Nishafyata Hivyo
Ona Unanipa Uchizi Oooh
Chai Umeijaza Tangawizi Oooh
Ona Ninavyokesha Kama Mlinzi Oooh
Penzi Laninyima Usingizi Oooh
Tayari Nishazama Moyo Unaushusha kitonga oh
Mawazo Yamegoma Nyuki Ameona Mzinga Ooh
Umenibamba
We Dada
Kwa Hizo Style Umeniweza
We Dada
Umependeza Mapaka Najiona Mshamba
Najiuliza Nitakuombaje Namba
Umenibamba Leo
Umenibamba Leo
Chorus
AYE BA
AYE BA
AYE BA
AYE BA
Macho Yananiita Njoo
Kifo Cha Mende Chali Naweka Hivyo
Siamini Oicha Kinaanza Hivyo
Penzi Limenizidi Ujanja Ooh
Ananiua Confidence Ananiondoa Stress Vile Anavyonesanesa
Kiuno Kinakwenda West Anakirudisha East Mtetemeko Wa Jenereta
Nikirudi Nyuma Bado Ananiset Anaipatia Fresh Anabonua Anakileta
Nami Sina Ujanja Kwake Najiset Napambania Mechi Mazima Najiweka
Vitamu Sana
Vikikutana
Ooh ooh
Umenibamba
We Dada
Kwa Hizo Style Umeniweza
We Dada
Umependeza Mapaka Najiona Mshamba
Najiuliza Nitakuombaje Namba
Umenibamba Leo
Umenibamba Leo
Chorus
AYE BA
AYE BA
AYE BA
AYE BA