Song picture
Ombeni radhi
Comment Share
Free download
SWAHILI RAP
african hiphop bongo flava tanzanian hip hop
Tanzanian Hip Hop group Si kisenge
Si Matani consists of seven Tanzanian Friends that make music both in English and swahili...FatBlack, Brother K, M- face , Jemedali, Sam, Mtahlam,and k-Veli.
Song Info
Genre
Hip-Hop Hardcore Rap
Charts
#22,190 in subgenre Peak #44
Charts
Peak #319
Author
Paul kirigiti (Fat Black)
Rights
Si Matani
Uploaded
December 22, 2004
Track Files
MP3
MP3 3.9 MB 128 kbps 0:00
Story behind the song
When i left africa hip hop was real hip hop, now everyone is trying to rap or sing even if they cant the hurt hip hop in africa (i'm talking about Tanzania)
Lyrics
WA BONGO this is whats called real skills Fat black (yeah) verse I Unapo fika nilisha pita long time ago.... kipindi cha doctor beat mi na K-singo... enzi zile ML-chris ana cruise to midnight rest in peace Kiza ama try to do this right...(yeah) Ma bwana wago siku hizi munataka ku flow kwasababu sauti zenu wote nyororo...... Fikiria unavo panga maneno kwaki nge..nge naki the...the mambogani hayo (Ina bidi ni pige bakora watu wana ni ona noma muta koma)....ntapo shuka hapo amsterdam nadaka ndege nyegine nakuja DSM....wha what.. chorus ombeni radhi tu... muda ni huu *4 times verse 2 Una waza mi ni nani bwana mdogo wakutoka kwa mama P's F A T BLACK nilipo kua na ishi huko oysterbay (sawa sawa)..... ina bidi ni wa someshe wadogo zangu kwamba rap sio ya watu wote... kama una kipaji kengine we kitumie we tenge neza njia yako angalia mbele... mbogo flava mambo gani hayo...miziki yote ya mapenzi tuna kufa tu....kila siku tu kwahuyo mdudu...kujidai mgumu...muaka in enda watu tuta chum....(sawa sawa) repeat chorus.. Bongo nta wakilisha bila matatizo au beef.... mtindo hu ni waki nugu wanaita mi cheif... original mkurugenzi na shangaza kama benzi.... mi nasikisenge wote nyie amtu wezi.... kama unataka uta pata tuta peta peta apa.... mambo raisi kama mkapa..( kama una penda wewe fata).... vuta vuta bangi tuu mwisho utadata tuu mi nimkalili nitabaki ndani ya mchezo huu...(ha) (sina wasi wasi mi nama karatasi nina faya kazi miyaka in enda kasi) Mbona ume nuna sura nedfu ka farasi... kwasababu nyimba zangu zina pigwa bilicans.... na mengi ya ku sema mwimbo huu ni onjesho.... nama chizi wangi wa columbus ohio.... Fat black, babu ,kolumba, samson ,bonnie na lusungu... repeat chorus....till end
On Playlists
Comments
Please sign up or log in to post a comment.